Tuesday, November 11, 2014Na Mwandishi Wetu
BONDIA Fadhili majiha kwa mara ya kwanza ataiwakilisha nchi ya tanzania akicheza katika mpambano wa utangulizi wa bondia mkubwa duniani Manny Pacquaio na Chris Algieri mpam
bano utakaofanyika 


Cotai Arena, Venetian Resort, Macao, Macao S.A.R., China mpambano ambao bonia mtanzania Fadhili Majiha atavaana na Jerwin Ancajas kutoka Philippines mpambano utakaokuwa wa raundi 8 

mch
ezo uliopowa hadhi ya nyota mbili ambapo watanzania wote wanapaswa kumuombea duwa bondia nambari moja kwa ubora nchini tanzani kwa ajili ya kutuwakilisha katika mpambano uho mkubwa wa kimataifa ambapo zaidi ya watu wengi duniani watakuwa wakiangalia mojakwa moja kupitia luninga zao

Majiha ambaye hivi karibuni ametokea nchini Bangkok, Thailand alipocheza mpambano wake wa mwisho wa raundi 12 na kupoteza kwa pointi amewakikishia wa

tanzania kuwa bado yupo fiti na atafanya maajabu siku hiyo kwa kumtwanga MPhilippines huyo ambaye atakutana nae siku  hiyo
 

Cotai Arena, Venetian Resort, Macao, Macao S.A.R., China
view 

welterweightManny PacquiaoSCChris Algieri12


flyweightZou ShimingSCKwanpichit OnesongchaiGym12


featherweightVasyl LomachenkoSCChonlatarn Piriyapinyo12


light welterweightJessie VargasSCAntonio DeMarco12


super flyweightJerwin AncajasSCFadhili Majiha8


light middleweightKuok Kun NgSCSteve Attard6

0 comments:

Post a Comment