Monday, November 17, 2014

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Resolution Insurance, Oscar Osir(katikati) akikata keki wakati wa hafla ya kampuni hiyo kwa wafanyakazi na wateja iliyofanyika Viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam. 

 Hilari Salehe(kushoto) akijaribu kuwatoka Abdalah Abdul (kulia) na Paul Kavishe wakati wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Baadhi zya washiriki wa mbio za Magunia wakijiandaa kushindana wakati wa wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Robert Kishiki alishinda mbio hizo.

 Baadhi zya washiriki wa mbio za Magunia wakishindana wakati wa wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Robert Kishiki alishinda mbio hizo.

 Wafanyakazi wa Resolution Insurance wakiwaburuza wateja wakati wa mpambano wa kuvuta kamaba baina ya wafanyakazi wa kampuni hiyo na wateja uliofanyika viwanja vya kijitonyama jijini Dar es Salaam mwioshoni mwa wiki.Wafanyakazi wa Resolution Insurance walishinda.

0 comments:

Post a Comment