Saturday, January 10, 2015

Gari yenye namba za usajili T349CPQ aina ya Kenta likiwa limepata ajali maeneo Mbala Chalinze baada ya kupasuka taili la nyuma na kupoteza muelekeo.Dereva wa gari hiloambaye hakutambuluka jna lake aliumia na kukimbizwa Hospitali Chalinze.

0 comments:

Post a Comment