Friday, January 9, 2015

.


 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wagteni wao kutoka vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York na University  of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, leo kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo hilo, kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo Mtanzania, Profesa Dan Nyaronga wa Chuo Kikuu cha Buffalo nchini Marekani.
 Mtemvu akiwa na mdau wa maendeleo katika jimbo loa Temeke, Fiona Barretto wakati wa mapokezi ya ugeni huo kwenda wa mkuu wa wilaya ya Temeke
  Profesa Dan akizungumza katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Temeke, baada ya ujumbe huo kukutana na mkuu huyo wa wilaya,  Sophia Mjema, wa pili kushoto,
 Mkuu huyo wa wilaya akizungumza
 Ugeni huo kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Temeke leo
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akisalimiana na Binti wa Mtemvu, Siti Mtemvu wakati msafara ulipoingia ofisini kwa mkurugenzi huyo leo
 Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja ana viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
 Wanahisa wa Mfuko wa wa Kupambana na Umasikini Temeke -TFP,  wakiulaki ugeni wa Mtemvu na Wamarekani hao ulipowasili kwenye Ofisi za TFP leo
Mtemvu akizungumza na wadau wa PFT
 Profesa Dan Nyaronga akizungumza na wadau wa mfuko huo  wa PFT
 Binti wa Mtemvu Sitti akisalimia wanachama wa mfuko huo
UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA MAENEO MBALIMBALI JIMBO LA TEMEKE Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wagteni wao kutoka vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York na University of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, leo kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo hilo, kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo Mtanzania, Profesa Dan Nyaronga wa Chuo Kikuu cha Buffalo nchini Marekani. Mtemvu akiwa na mdau wa maendeleo katika jimbo loa Temeke, Fiona Barretto wakati wa mapokezi ya ugeni huo kwenda wa mkuu wa wilaya ya Temeke Profesa Dan akizungumza katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Temeke, baada ya ujumbe huo kukutana na mkuu huyo wa wilaya, Sophia Mjema, wa pili kushoto, Mkuu huyo wa wilaya akizungumza Ugeni huo kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Temeke leo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akisalimiana na Binti wa Mtemvu, Siti Mtemvu wakati msafara ulipoingia ofisini kwa mkurugenzi huyo leo Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja ana viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Wanahisa wa Mfuko wa wa Kupambana na Umasikini Temeke -TFP, wakiulaki ugeni wa Mtemvu na Wamarekani hao ulipowasili kwenye Ofisi za TFP leo Mtemvu akizungumza na wadau wa PFT Profesa Dan Nyaronga akizungumza na wadau wa mfuko huo wa PFT Binti wa Mtemvu Sitti akisalimia wanachama wa mfuko huo Mtemvu na ugeni wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Mfuko wa PFT baada ya mazungumzo ya kubadilishana uzoefu wa anamna ya kuondoa aumasikini katika jamii Mkurugenzi wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, akiwa na baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu hivyo ya Marekani ambao ni miongozi mwa waliokuwa katika ugeni huo wa Mtemvu, hapa ilikuwa kwenye ofisi za PFT. Mbunge wa Temeke, Mtemvu akipata chakula cha mchana na ugeni wake katika hoteli ndani ya jengo la Quality Centre Maofisa katika Ofisi ya Mbunge wa Temeke, wakaiwa kwenye hoteli wakati wa chakula hicho cha mchana. Polisi wa usalama barabarani akiongoza msafara wa ugeni huo kutoka Quality Plaza kwenda Hispitali ya Rufani ya mkoa wa Temeke kuendelea na ziara Ugeni ukipata maelezo mbalimbali katika ukumbi wa hospitali hiyo Msafara ukitoka ukimbini baada ya mazungumzo hao. Kulia ni Mgaga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Temeke, Dk. Amaani Malima Dk. Malima akitoa maelezo kwa wageni hao katika chumba cha kujifungulia kwa upasuaji Dk. Malima akiendelea kutoa maelezo kwa ugeni huo Binti wa Mtemvu Sitti Mtemvu akigawa chandarua kwa Devota Boniface, mama mzazi aliyejifungua katika hospitali hiyo ya Temeke., Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa hospitali hiyo ya Temeke. Kulia ni Mgaganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke, Dk. Sylvia Mamkwe. Watoto katika kituo cha watoto yatima cha Makao, Kurasini,Temeke Dar es Salaam, wakisubiri ugeni huo wa wamarekani, ulipowaili kwenye kituo hicho. Mmoja wa wageni kutoka Marekani Leanne Thomas wa State University of Buffalo, akifurahia kuchezea nyoka wakati kikundi cha ngoma cha Sanaa cha Hisiaa Theatre Group kwenye kituo hicho cha yatima, Kurasini Mtemvu akijitwisha nyoka kujaribu kama walivyokuwa wakifanya wasanii wa kikundi hicho cha sanaa Profesa Dan Nyaronga naye akijitwisha nyoka Mmmoja wa wageni hao kutoka Marekani akishangilia baada ya kubebeshwa nyoka na wasanii wa kikundi hicho cha ngoma Mmoja wa wanafunzi akibeba nyoka ya wasanii hao Mtemvu, mkewe na mtoto wao Sitti wakifurahia kubeba nyoka wa kikundi hicho cha sanaa Mtemvu na msafara wake wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa kikundi hicho cha sanaa Mama mlenzi wa kituo cha Makao ya watoto wenye shida cha Kurasini, Betrice Mgumiro akizungumza wakati Mtemvu na ugeni wake walipitembelea kituo hicho Sitti Mtemvu akimkabidhi chandarua mtoto kwenye kituo hicho cha Makao cha watoto wenye shida Profesa Dan akikabidhi chandarua kwa watoto wa kituo hicho Laurien Martinek wa Marekani ambaye yupo katika msafara huo wakigawa chandarua kwa Fatuma Jabiri wa kikundi hicho cha sanaa Mdau wa maendeleo jimbo la Temeke, Fion Barretto akigawa chandarua kwa msanii huyo Sitti akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliogawiwa chandarua Mtoto Baraka Rashid, kutoka kituo cha watoto wenye shida cha Kurasini akitoa shukrani baada ya ugeni kugawa vyandarua kwa watoto kadhaa Ugeni ukionyeshwa mifungo kwenye kituo cha watoto yatima kwa ajili ya kitoweo Mmoja wa wageni hao akichukulia ndani ya jengo ambalo limebaki gofu kutokana na kutokuwa na vifaa mbalimbali vya kujifundishia ufundi ikiwemo vyerehani. Picha zote na Khamisi Mussa Posted by Bashir Nkoromo at Thursday, January 08, 2015 0 comments Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest Older Posts Home Wanaotembelea Blogu hii Sparkline 1883833 MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAYA HAPA Tanzania National Flag Tanzania National Flag Time Dar es Salaam The Digital Company The Digital Company Mtayarishaji: Mtayarishaji: Richard Mwaikenda BONGO HITS Find more music like this on GongaMx Blog Archive My Blog List PropertyFinder Tanzania - Houses for rent | Property and accommodation classifieds | Listings from LICENSED real estate agents (zamani TZadverts.com) studio at mikochen a $1000pm near th main rd (USD 1,000) - good location at mikochen a 21 minutes ago JIACHIE HUYU NA YULE Jumatatu ijayo....... Dr Talib Ali - *Katika HUYU NA YULE Jumatatu ijayo tunakuletea mahojiano yetu na Dr Talib Ali* Copyright 2007 ©MICHUZI JR 28 minutes ago MICHUZI MAELEZO BADILISHENI MFUMO WA UTOAJI PRESS CARD - *WASOMAJI na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika ... 5 hours ago Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima AJALI YA BASI NA LORI IRINGA YAUA ZAIDI YA WANNE LEO - Abiria wa basi la Panuel wakitoka katika basi hilo baada ya kupata ajali Basi la kampuni ya Panuel lenye namba za usajili T 919 DCD kulia likiwa ... 16 hours ago SuperD Boxing Coach MABONDIA IDDI BONGE NA ALIPHONCE MCHUMIATUMBO KUZIPIGA FEB 14 - NA MWANDISHI WETU MABONDIA wenye uzito wa juu nchini Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Kipandu 'Iddi Bonge' watapambana Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasab... 18 hours ago Mbeya Yetu HOT NEWS: SAJENTI WA POLISI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI NDANI YA KITUO CHA POLISI USIKU WA MANANE - Sajenti Patrick Kondwa(54) anayedaiwa kujiua kwa kujipiga risasi ndani ya kituo cha Polisi Vwawa MbozBaadhi ya waombolezaji wakiwa katika Kota za Polisi V... 19 hours ago Daily Mitikasi Blog Airtel kuzindua Airtel UNI 255 J-mosi maalum kwa Wanafunzi UDSM katika Viwanja vya Mabibo Hostel - Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE Micro... 19 hours ago maisha kiasi Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju Akaribishwa Rasmi Wizara ya Katiba na Sheria - Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (kushoto) akikaribishwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa shada la maua kutoka kwa mtumishi wa Wizara Bi. Ch... 21 hours ago RAHA ZA PWANI MISS SINGIDA 2014 DORICE MOLLEL ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WODI YA WATOTO NJITI. - [image: DSC03176]Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kweny... 4 days ago Burudan Mwanzo - Mwisho NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE KATIKA KIPINDI CHA XMASI NA MWAKA MPYA - Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare Picha na SUPER D BOXING NEWS Mabondia wa uzito wa ... 6 days ago Dmgody the warrior WAFANYAKAZI WA FNB WATEMBELEA GLOBAL - *Afisa Masoko wa FNB, Anthonia Daviki akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).* * Antonia David (wa pili kutoka kushoto) akiwapa maelekezo wafa... 4 months ago www.wondeshizza.blogspot.com - Nkoromo Daily Blog - Duniani widget Followers Free Traffic live Music Mix Find more music like this on ThisIs50.com Popular Posts MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA HUU 2014 BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO MAOMBI YA KAZI Dear Director, I hereby apply for the position of Communications Manager. I holder a Masters Degree in Communications obtained last year... DESIGNERS LINE UP FOR TANZANIA RED RIBBON FASHION GALA 2012. Organiser of Tanzania Red ribbon Fashion Gala Ms.Khadija Mwanamboka (second from right) at the group photo with some of the design... WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI Wananchi wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo, wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliod... SOMA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015 WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA... VIJIMAMBO VYA MSANII REHEMA CHALAMILA 'RAY C' PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA Joka hilo kubwa aina ya Chatu likiwa nje ya Nyumba ya mfanyabiashara huyo, ambalo lilikutwa likiwa limefungwa Kitambaa ... MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR Na Ali Issa na Zahira Bilali-Maelezo Zanzibar 24/01/2013 Jumla ya Wanafunzi 11,195 wamechaguliwa kujiungia Kidatu cha Tatu k... MATOKEO KIDATO CHA PILI YATANGAZWA Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillipo Murugo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam,... (no title) Aunt Ezekiel na mwenzie wakiwa ndani ya Jiji la Kigali Calendar Comment Box CONTACT: e-Mail: rmwaikenda@yahoo.com rmwaikenda@gmail.com Box: Dar es Salaam, Tanzania Phone: + 255 715 264 202 +255 754 264 203 Habari Mbali Mbali Siasa Soka JAMII Biashara Afya UCHUMI michezo Sanaa UREMBO Burudani ELIMU KONYAGI MBEYA Miss tz 2010 UA utalii . : 50 years BIA TBL DAR CHINA TASUBA CONGO DK Bilal Dini HOMBOLO IDD EL FITR JK JK MBALIZI JK MLOWO JWTZ Jaji Mapigano KILIMO KUSHIRIKI Karume na Jaji Ramadhan MABAUNSA MAJAJI MAONT MERU HOTEL MISS 2010 MUZIKI Mazingira Mazishi Mufti Zanzibar Miss Tz 2009 Mitindo Mtwara vijijini NHIF Naibu Waziri Malima (wa pili kulia) aki Ndondi PICHA KALI Photographic Pool Rais Rasimu iliyopo Ridh Rufiji SALMA KIKWETE SAMWELI SITA NA ROSTAM AZIZ SHEREHE ZA FIESTA Salaam TBL AIDS DAY TBL MWANZA TIB Tuboreshe Twiga Stars VITUKO VODA VURUGU WASANII WA MUZIKI WATARAJIA YANGA Yanga vs Atletico ZITTO KABWE. chai journey of Revolution tigo Blog Pages Home MATOKEO YA IV 2011 Call us:- Call us:- +255 754 264203,+255 715 264 202 Tangaza Biashara yako nasi offer!offer!offer!! Tangaza biashara yako kwa bei nafuu hapa!! call us: +255 754 264 203 +255 715 264 202 Popular Posts MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA HUU 2014 BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO MAOMBI YA KAZI Dear Director, I hereby apply for the position of Communications Manager. I holder a Masters Degree in Communications obtained last year... DESIGNERS LINE UP FOR TANZANIA RED RIBBON FASHION GALA 2012. Organiser of Tanzania Red ribbon Fashion Gala Ms.Khadija Mwanamboka (second from right) at the group photo with some of the design... WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI Wananchi wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo, wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliod... SOMA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015 WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA... VIJIMAMBO VYA MSANII REHEMA CHALAMILA 'RAY C' PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA Joka hilo kubwa aina ya Chatu likiwa nje ya Nyumba ya mfanyabiashara huyo, ambalo lilikutwa likiwa limefungwa Kitambaa ... MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR Na Ali Issa na Zahira Bilali-Maelezo Zanzibar 24/01/2013 Jumla ya Wanafunzi 11,195 wamechaguliwa kujiungia Kidatu cha Tatu k... MATOKEO KIDATO CHA PILI YATANGAZWA Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillipo Murugo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam,... (no title) Aunt Ezekiel na mwenzie wakiwa ndani ya Jiji la Kigali Blog Archive ▼ 2015 (68) ▼ January (68) SHIRIKA LA BANDARI ZANZIBAR LAZINDUA TAGI MPYA YA ... MBUNGE WA JIMBO LA MOROGOGO MJINI MH ABOOD AMWAGA ... FALLY IPUPA AMFURAHIA DIAMOND PLATNUMZ RIDHOIWANI KIKWETE AAHIDI KUTATUA TATIZO LA UMEME,... UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA K... RIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KUTATUA TATIZO LA UMEME N... MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 08.01.2015 REAL MADRID YAFUNGWA NA ATLETICO MADRID BAO 2-0 WANAFUNZI KUTOKA CHUO KIKUU CHA BUFALO NA EMPIRE V... PANYA ROAD KWISHA KAZI! KOVA ALALA NJE SAA 120 WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA MRADI MKUBWA W... Dkt. Magufuli aagiza kufungwa mfumo mpya wa kielek... RIDHIWANI KIKWETE AMEAPA KUTORUHUSU UPORAJI WA ARD... Rais Kikwete amjulia hali Brigedia Jenerali Hashim... Rais Kikwete akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika... ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA KATIKA JIMBO LAKE LA UC... MWIGULU NCHEMBA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA ... RIDHIWANI KIKWETE KUTUMIA UANASHERIA WAKE KUTETEA ... Utata wajitokeza kifo cha Meshack Yebei Taarifa Maalum ya IKULU Kuhusu Habari iliyochapish... EWURA YASHUSHA BEI YA MAFUTA NI KUANZIA KESHO JANU... MBUNGE WA MOROGOR MJINI ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 20... DR. GHARIB BILAL AFUNGUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SK... ALIBINO ANASAKWA MWANZA , WATU 15 MBARONI Dkt. Ghalib Bilal: matumizi bora ya teknolojia ya ... ZIARA YA KUSHTUKIZA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS M... MAGAZETI YA LEO JUMANNE BABA AMTOBOA MWANAYE MACHO NA YEYE KUJINYONGA! SINGANO AIVUSHA SIMBA ROBO FAINALI KOMBE LA MAPIND... RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA ... DR. SHEIN AWEKAJI JIWE LA MSINGI NYUMBA JESHI LA W... WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHON... UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA POLISI MBWENI.... UJUMBE MUHIMU KWA TAIFA DORIS MOLLEL ACHANGIA VIFAA VYA KUPUM
UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA MAENEO MBALIMBALI JIMBO LA TEMEKE Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wagteni wao kutoka vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York na University of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, leo kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo hilo, kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo Mtanzania, Profesa Dan Nyaronga wa Chuo Kikuu cha Buffalo nchini Marekani. Mtemvu akiwa na mdau wa maendeleo katika jimbo loa Temeke, Fiona Barretto wakati wa mapokezi ya ugeni huo kwenda wa mkuu wa wilaya ya Temeke Profesa Dan akizungumza katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Temeke, baada ya ujumbe huo kukutana na mkuu huyo wa wilaya, Sophia Mjema, wa pili kushoto, Mkuu huyo wa wilaya akizungumza Ugeni huo kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Temeke leo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akisalimiana na Binti wa Mtemvu, Siti Mtemvu wakati msafara ulipoingia ofisini kwa mkurugenzi huyo leo Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja ana viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Wanahisa wa Mfuko wa wa Kupambana na Umasikini Temeke -TFP, wakiulaki ugeni wa Mtemvu na Wamarekani hao ulipowasili kwenye Ofisi za TFP leo Mtemvu akizungumza na wadau wa PFT Profesa Dan Nyaronga akizungumza na wadau wa mfuko huo wa PFT Binti wa Mtemvu Sitti akisalimia wanachama wa mfuko huo Mtemvu na ugeni wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Mfuko wa PFT baada ya mazungumzo ya kubadilishana uzoefu wa anamna ya kuondoa aumasikini katika jamii Mkurugenzi wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, akiwa na baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu hivyo ya Marekani ambao ni miongozi mwa waliokuwa katika ugeni huo wa Mtemvu, hapa ilikuwa kwenye ofisi za PFT. Mbunge wa Temeke, Mtemvu akipata chakula cha mchana na ugeni wake katika hoteli ndani ya jengo la Quality Centre Maofisa katika Ofisi ya Mbunge wa Temeke, wakaiwa kwenye hoteli wakati wa chakula hicho cha mchana. Polisi wa usalama barabarani akiongoza msafara wa ugeni huo kutoka Quality Plaza kwenda Hispitali ya Rufani ya mkoa wa Temeke kuendelea na ziara Ugeni ukipata maelezo mbalimbali katika ukumbi wa hospitali hiyo Msafara ukitoka ukimbini baada ya mazungumzo hao. Kulia ni Mgaga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Temeke, Dk. Amaani Malima Dk. Malima akitoa maelezo kwa wageni hao katika chumba cha kujifungulia kwa upasuaji Dk. Malima akiendelea kutoa maelezo kwa ugeni huo Binti wa Mtemvu Sitti Mtemvu akigawa chandarua kwa Devota Boniface, mama mzazi aliyejifungua katika hospitali hiyo ya Temeke., Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa hospitali hiyo ya Temeke. Kulia ni Mgaganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke, Dk. Sylvia Mamkwe.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
ULIA KWENYE W... TPDC YATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIU... KINANA AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA JIJINI TANGA NA KUW... IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20 REDIO YA JAMII MKOANI YAZINDULIWA KWA MBWEMBWE ZA ... Bondia mtanzania Omari Kimweri anayetesa Australia... MAGAZETI YA LEO JUMATATU SHEREHE ZA MAULID YA MTUME MUHAMAD (SAW) ZILIVYOFA... RAIS WA ZANZIBAR DR. ALI MOHAMMED SHEIN AFUNGUA BA... WAENDESHA BODABODA WAJINAFASI KWA MIPASHO DAR LIVE... DIAMOND ATEULIWA KUTUMBUIZA TUZO ZA MWANASOKA BORA... FAMILIA YA MSWEMWA YATUMIA MILIONI 100 KUSAIDIA JA... KINANA ATIMIZA HADI YA SERIKALI KUKIRUDISHA KWA WA... MAGAZET YA LEO JUMAPILI MIMI SI MENEJA TENA WA ROSE MUHANDO-MSAMA MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDU... AJALI MBAYA JIJINI DAR ES SALAAM MISS SINGIDA 2014 DORICE MOLLEL ATOA MSAADA WA VIF... JENGO LATEKETEA KWA MOTO KARIAKOO RIDHIWANI KIKWETE AELEZEA MIKAKATI YA KUTATUA KERO... RAIS AMTEUA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MPYA RAIS DR. SHEIN AFANYA UZINDUZI MAEGESHO NA NJIA YA... TAARIFA KWA UMMA - SI KWELI KWAMBA VIP ENGINEERING... Magazeti Leo Jumamosi TAASISI YA FINCA YATOA MILIONI 17 KWA WAJASILIAMAL... NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE KATIKA KIPINDI CHA KRIS... RAIS DR. SHEIN AFANYA UZINDUZI MAEGESHO NA NJIA YA... RIDHIWANI KIKWETE AANZA ZIARA YA KIKAZI KATIKA VIJ... MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE O2.O1.2O15 Mwaka wa uchaguzi,Kikwete atoa salamu za mwisho za... Magazeti ya Leo Alhamisi MVUA KUBWA ZILIZONYESHA ZASABAISHA MAFURIKO MJINI ... WAKAZI WA TEMEKE NA VITONGOJI VYAKE WALIPOKEA VYEM... MBUNGE WA MOROGORO MJINI ATOA WIKI MBILI MTENDAJI ... ► 2014 (4729) ► 2013 (4202) ► 2012 (4600) ► 2011 (2172) ► 2010 (971) ADsense Tanzania

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

0 comments:

Post a Comment