Saturday, March 28, 2015

 Meneja masoko wa Jameson Whisk,Adam Kawa(kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuonja kinywa hicho iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaaam.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakimsikiliza Meneja masoko wa Jameson Whisk,Adam Kawa iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaaam.
Balozi Mkuu wa kinywaji cha Jameson Whisk, Nelson Aseka akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuonja kinywa hicho jinsi namna kinavyotengenezwa.Hafla hiyo iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakimsikiliza Balozi Mkuu wa kinywaji cha Jameson Whisk, Nelson Aseka iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaaam.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakinusa kinywaji cha Jameson Whisk  ili kujua harufu yake wakati wa hafla iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaaam.
 Balozi Mkuu wa kinywaji cha Jameson Whisk, Nelson Aseka akikielezea kinywaji cha Jameson Whisk kwa kwa wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuonja kinywa hicho  iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakinusa kinywaji cha Jameson Whisk  ili kujua harufu yake wakati wa hafla iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaaam.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakimsikiliza Balozi Mkuu wa kinywaji cha Jameson Whisk, Nelson Aseka iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaaam.
Na Mwandishi Wetu.
 KAMPUNI ya Perdon Ricard kupitia kinywaji chake cha Jameson Irish Whiskey, leo hii imekutanisha wadau katika tukio maalum  la kuonjesha lijulikanalo kama KUONJA JAMESON WHISK  ( Jameson Whisk tasting) lililofanyika katika ukumbi wa High Spirit jijini Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa Habari , Balozi Mkuu wa kinywaji hiko Bw. Nelson Aseka “Alisema kuwa Jameson  whisk ni kinywaji cha kwanza kwa mauzo makubwa duniani kote ukilinganisha na whisk nyingine kwa ladha nzuri,  pamoja na harufu nzuri iliopo  katika kinywaji hiko”.
Nae Meneja Mkuu wa Masoko   Bw.Adam Kawa, aliongeza kuwa “tukio hilo la uonjeshaji wa Jameson Whisk pia  umefungulia  milango kwa vinywaji vingine kama vile Ballantine`s , Absolut Vodka, Chivas, Beefeater pamoja na  Malibu kujulikana zaidi . Pia aliwashukuru watumiaji wote wa vinywaji vyao nakuahidi kuendela kudumisha ubora maradufu katika vinywaji hivyo”.

0 comments:

Post a Comment