Wednesday, March 18, 2015

 Wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), wakishindana kuvuta kamba wakati wa mazoezi waliofanya jijini Dar es Salaam jana kutokana na utalatibu waliojiwekea kwakila baada  ya miezi mitatu hufanya mazoezi pamoja na wateja wao. 
 Mwalimu wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa),  kufanya mazoezi Dar es Salaam  
Mwalimu wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray Mwamakula (kushoto) akimiliki mpila mbele ya mfanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), Sharifu Nuru wakati alipotoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Benki ya hiyo Dar es Salaam

0 comments:

Post a Comment