Wednesday, April 22, 2015

 Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bedwa(kushoto) akitangaza majina ya wajasiliamali wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) watakaopewa ruzuku za Programu ya Safari Lager Wezeshwa msimu wa nne.Kulia ni kiongozi wa wataalamu wa ushauri wa biashara kutoka kampuni ya TAPBDS, Bwana Joseph Migunda.
Kiongozi wa wataalamu wa ushauri wa biashara kutoka kampuni ya TAPBDS, Bwana Joseph Migunda(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza majina ya wajasiliamali waliofuzu kupewa ruzuku za Programu ya Safari Lager Wezeshwa msimu wa nne.


 Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo wametangaza rasmi majina ya wajasiliamali waliofuzu kupewa ruzuku za programu ya Safari  Lager Wezeshwa kwa msimu wa nne.  

Akizungumza  na waandishi wa habari, Meneja wa bia ya Safari Lager Bi. Edith Bebwa aliyataja majina ya wajasiliamali waliofuzu kuwa ni
A:Dar es Salaam
1.Clemence Godfrey
2.Dickson Koi Jr
3.Eustadius Ponsian Mwemezi
4.Evarist Adam Ponela
5.Frank Mashoko
6.George J.Mbwambo
7.Josephine Lutaihwa
8.Mohamed Seif
9.Neema Oloni
10.Shumbusho Kaijanante
11.Jeremia Mganga
12.Innocent Kisole

B.MBEYA
1.Adily Kayuni
2.Colletha Simon Kipeta
3.Emmanuel Yolam Mkumbwa
4.Erick Mlelwa
5.Malk Lawena
6.Nickson Michael Mbewe
7.Orest Ladislaous Fwampa
8.Paul Ernest Kapinga
9.Samweli Mateni
10.Stellah W.Mwashalindi
11.Issa Shila Msukulu
12.Lusajo Mwakoba

C.ARUSHA
1.Paul Ndosi
2.Deogratias Komba
3.Elina Lucas
4.Asha Daniel Mrita
5.Sarah Gunda
6.George Lyezia
7.Stephen Mmary
8.Nancy Musana
9.Hilary Sirikwa
10.Novati Temba
11.Martha Steven Ntoga
12.Paul Hhayuma
13.Cypiana Moshi
14.Adriana Kimaryo
15.Amedeus Shayo
16.Elvis Kombe
17.Lily Albert Kombe
18.Erick Robert Swai
19.Noah Phlibert Luguhu
20.Ombeni Martin Urio
21.Lucy Ralph Mnkande

D.MWANZA
1.Bagaile Shaban Barabara
2.Dastan Mutayoba Amon
3.David Awasi
4.Godlove Charles Muro
5.Happiness Mabula Mandula
6.Jemes Edward Mwandefu
7.Khadija Liganda
8.Raymond Emmanuel Kamisha
9.Zebedayo Lazaro Kingi
10. Zeda Lucas Magomola

  alifafanuwa ya kwamba “ Kila wajasiliamali wa kila kanda wanapewa mafunzo maalumu ya ujasiliamali yanayotarajiwa kuanza rasmi Aprili 13,2015 kwa Mbeya,Mwanza, Arusha na jijini Dar es Salaam na kumalizika Aprili 17,2015 kwa maeneo yote hayo.
Alisema Edith, baada ya mafunzo hayo patafutiwa na makabidhiano ya vifaa vyao walivyoomba kwa nyakati tofauti ambapo;
>Dar es Salaam ni 10 Mai 2014
>Mbeya ni 16 Mai 2015
>Mwanza ni 23 Mai 2015
>Arusha ni 30 Mai 2015.
Nae kiongozi wa wataalamu wa ushauri wa biashara kutoka kampuni ya TAPBDS, Bwana Joseph Migunda alisema kuwa Zoezi hili lilihusisha wataalamu wenye uwezo na uzoefu mkubwa katika kushauri na kusaidia ukuzaji wa sekta ya biashara ndogo dogo na kubwa.
Mchakato huu ulikuwa mzito, jumla ya fomu za maombi zilizotufikia zilikuwa ni 3,613.Wajasiliamali walifuzu vigezo ni 55 ambao tunatarajia jumatatu tarehe Aprili 13,2015.Wajasilamali watapewa mafunzo na tunaamini mafunzo tutakayowapa  yatakuwa chachu kwa biashara zao na kwa wafanya biashara wengine wanao wazunguka.

0 comments:

Post a Comment