Wednesday, May 27, 2015

 
Mmoja wawashindi wa proggramu ya Safasri lager Wezeshwa, Lusajo Mwakoba akitoa shukrani kwa niaba ya wenzake mara baada ya kukabidhiwa ruzuku kwa kukabidhiwa vitendea kazina Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawilo.Kutoka ni meneja wa bia ya Safari Lager Edith Bebwa. Jumla ya wajasiliamali 14 waliowezeshwa vitendea kazi mbalimbali. 


Mkuu wa Wilaya ya Chunya Deodatus Kinawilo akimkabidhi sehemu ya mashine ya kutobolea vyuma mmoja wa wajasiliamali, Adili Kayuni katika program ya Safari lager wenyeshwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.Jumla ya wajasiliamali 14 waliowezeshwa vitendea kazi mbalimbali.

0 comments:

Post a Comment