WASHINDI WA PROMOSHENI KILLIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS KUTOKA MIKOANI WAKILA BATA JIJINI DAR ES SALAM

  Baadhi ya washindi wa promosheni za Kilimanjaro wakiwa katika hafla ya chakula cha mchanai kilichoandaliwa na Tbl kipitia bia yake ya Kilimanjaro waliokuja kushuhudia Kilimanjaro Tanzania Music Awards  katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
No comments:

Post a Comment