Tuesday, July 7, 2015

 
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azan akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Jimbo lake wakati mkutanao wa mambo mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo lake ambapo pia alitangaza kugombea tena nafasi hiyo ya Ubunge.Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Dar es Salaam.
 Idd Azani akizungumza wakati wa mkutano huo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza wakati wa mkutano huo

0 comments:

Post a Comment