Friday, July 17, 2015

Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Makumbusho Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fatuma Sadiki(kulia) akimkabidhi fomu ya ugombea Udiwani wa Kata hiyo, Mwanahabari, Michael Machellah katika ofisi za Chama hicho CCM Mwinjuma Mwananyamala.
Mgombea Udiwani Kata ya Makumbusho Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mwanahabari, Michael Machellah akionyesha fomu ya Udiwani mara baada ya kukabidhiwa katika ofisi za chama hicho Mwananyamala.Kulia ni Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya akumbusho Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fatuma Sadiki.

0 comments:

Post a Comment