Saturday, October 17, 2015Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila akimkabidhi mkataba bondia Seba Temba baada ya kutia saini ya makubaliano ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Seba Temba kushoto akitia saini katika mkataba wake kwa ajili ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika Desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Seba Temba kushoto akitia saini katika mkataba wake kwa ajili ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika Desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS

RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

0 comments:

Post a Comment