Wednesday, March 30, 2016

 Viongozi wa dini wakimuombea  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiburudishwa na ngoma za Utamaduni baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Askari wa Kikosi cha  Zimamoto na Uokoaji wa Uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kutua kwa muda  akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikaribishwa kusalimia wanannchi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wasafiri baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita

0 comments:

Post a Comment