Tuesday, May 10, 2016

Marubani wa Air Mauritius na Mabalozi wa Air Mauritius Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi maalumu wa ndege hiyo ilipowasili kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Julius Nyerere Dar es Salaam.Ndege hiyo itakuwa ikifanya safari zake kila ijumaa ikitokea Mauritius kuja Dar na kurudi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Prof.Faustine Kamuzora(kulia) akikabidhiwa mfano wa ndenge (dame) ya Air Mauritius na Mwenyekiti wa bodi, Dk.Suddhoo Arjoon wakati wa uzinduzi uliofanyika katika Hoteli ya Hayatt jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Marubani wa Air Mauritius na Mabalozi wa Air Mauritius Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi maalumu wa ndege hiyo ilipowasili kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Julius Nyerere Dar es Salaam.Ndege hiyo itakuwa ikifanya safari zake kila ijumaa ikitokea Mauritius kuja Dar na kurudi.

Marubani wa  Air Mauritius,Wafanyakazi wa Air Mauritius na Mabalozi wa Air Mauritius Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi maalumu wa ndege hiyo ilipowasili kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Julius Nyerere Dar es Salaam.Ndege hiyo itakuwa ikifanya safari zake kila ijumaa ikitokea Mauritius kuja Dar na kurudi.

Wasanii kutoka Mauritius wakaitoa burudani ya asili wakati wa uzinduzi wa ndege ya Air Mauritius uliofanyika Hayatt jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Wasanii kutoka Mauritius wakaitoa burudani ya asili pamoja na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa ndege ya Air Mauritius uliofanyika Hayatt jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment