Tuesday, July 26, 2016Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Prof. Makame Mbarawa(kutoka kushoto),Naibu Waziri Mkuu wa Kongo, Thomas Luhaka na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Tanzania, Levin Zhang  wakikata utepe wakatiwa uzinduzi wa Tamasha mambo ya Techolojia Tanzania lililoandaliwa na Huawei.


 Meneja Masoko wa Huawei, Ian Ellis (kulia) akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Prof. Makame Mbarawa wakati wa uzinduzi huo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Prof. Makame Mbarawa(kutoka kushoto) akizungumza na wanahabari mara baada ya uzinduzi huo.


0 comments:

Post a Comment