Thursday, July 28, 2016Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Afrika Kusini, Ian Ellis akizungumza na Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali walipotembelea Kontena maalumu kujifunza mambo ya Sayansi Tekinolojia wakati wa maonyesho ya nne ya wadau wa Simu za mkononi katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Afrika Kusini, Jeo Zhao akizungumza na Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali walipotembelea Kontena maalumu kujifunza mambo ya Tekinolojia katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment