Wednesday, August 17, 2016

 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia na Ngao ya hisani mara baada ya kuifunga kwa penati timu ya Yanga 4-1, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi ngao Nahodha wa Azam Fc, John Bocco mara baada ya kuifunga yanga 4-1 wakati wa mechi ya Ngao ya hisani iliyofanyika Uwanja wa Taifa.
Wachezaji wa Azam Fc wakimpongeza Kocha wao kwa kumrusha juu 
 Wachezaji wa Azam wakishangilia
Azam wakishangilia

0 comments:

Post a Comment