Friday, October 7, 2016

 Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Samsung Afrika Mshariki, Nandakishore Nair (kulia) akipiga makofi mara baada ya Rais wa Chama cha Wabunifu Majengo, Henry Mwoleka kukata utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa bidhaa hizo uliofanyika katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Dar es Salaam
 Rais wa Chama cha Wabunifu Majengo, Henry Mwoleka na (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Samsung Afrika Mshariki, Nandakishore Nair wa pili (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Afisa masoko wa Kampuni ya Samsung, Mhandisi, Meshack Odhiambo mara baada ya uzinduzi wa AC mpya za Kampuni ya Samsung iliyofanyika katika Hotel ya Hayatt Kilimanjaro Dar es Salaam


Rais wa Chama cha Wabunifu Majengo, Henry Mwoleka na (kushoto) akiwacha AC ya Kampuni ya Samsung mara baada ya kuizindua Dar es Salaam jana.Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Samsung Afrika Mshariki, Nandakishore Nair na Afisa masoko wa Kampuni ya Samsung, Mhandisi, Meshack Odhiambo

KAMPUNI ya KIelektronikia ya Samsung Afrika Mashariki, imezindua kiyoyozi chake kipya chenye vifaa vya 360 Cassette, DVM Chiller, next generation DVM S 30 HP, pamoja na kifaa cha pembeni cha kutolea maji/hewa (VRF unit) – the DVM S Eco 14 HP.

Kwa pamoja, huu ubunifu wa hivi vifaa vipya (360 Cassette, DVM Chiller, next generation DVM S 30 HP, pamoja na kifaa cha pembeni cha kutolea maji/hewa (VRF unit) – the DVM S Eco 14 HP) utabadili hali ya sasa ya viyoyozi hususani kwenye ongezeko la nishati, ufanisi na utendaji, uchukuaji mdogo wa nafasi pamoja na kuongeza kasi ya upatikanaji wa ubaridi.
Mbali na hivi vifaa vipya, Samsung imekua moja ya kampuni inayoongoza kwenye hii sekta kutokana na uzoefu wake wa kipekee, ubora wa bidhaa zake pamoja na utoaji wa huduma bora.
Akizungumza wakati wa uzinduzi, Makamu wa Rais na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya vifaa vya elektronikia ya Samsung Afrika Mashariki, Bwana John Park alisema haya “ Kutokana na hali ya joto kuongezeka kwa kiasi kikubwa; viyoyozi vimekua kama vifaa muhimu badala ya kuonekana kama ni anasa katika maisha yetu. Na hii imetupelekea sisi kutambulisha kiyoyozi ambacho kinafanya kazi kwa ufanisi Zaidi huku ikitumia pesa kidogo sana kuiendesha”.
Hiki kifaa cha 360 Cassette ni muungano wa upooza ulio murua na wa haraka bila rasimu ya ubaridi, huku ikiwa na muongezeko wa asilimia 34 wa kasi ya kutoa ubaridi. Ina kitengo inatoa urahisi mkubwa kukubaliana na style yeyote na kuiwezesha kufungwa ndani ya dari au sehemu iliyo wazi; pia ina nafasi kubwa ambayo inamplekekea mtumiaje aweze kubadilisha mtiririko wa hewa kuwa wa horizontal au wima au kiupande kutokana na anavyotaka. Nyongeza ya hayo, mtumiaji, ana fursa ya kutumia wheeh dual remote controller yenye kitufe pekee kwa ajili ya comfort cooling. Kifaa cha virusi cha Samsung kinaweza ongezwa kwenye kiyoyozi ili kuondoa vumbi, allergen, bakteria na virusi.
Mbali na hayo yote; the DVM S 30 HP inajivunia ubunifu wa mfumo utakaogundua uvujaji wowote, na kifaa ambacho kinaongezeka hali joto kwa asilimia 29 na asilimia 17 ya kuongezeka kwa mzunguko wa hali ya hewa.
Bidhaa ya Samsung ya single outdoor ndio suluhu kwenye  maghorofa na majengo ya ofisi kwa kuwa ina kifaa cha pembeni cha kutolea maji pamoja na mchanganyiko wa                                                                     bei nzuri, urahisi kwenye ku install, haichukui nafasi kubwa pamoja na ongezeko kubwa katika ufanisi wake wa kazi.                                            
Kubuni ubunifu wa DVM S Eco 14 HP tunajivunia ongezeko la joto la utendaji kwa asilimia 20 na ongezeko la mzunguko wa hewa kwa asilimia 10 ikilinganishwa na kitoa hewa cha pembeni cha VRF.

 

0 comments:

Post a Comment