Tuesday, January 17, 2017

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi(wa pili kulia) na Mwenyekiti wa bodi wa Kampuni ya Total Tanzania, Jean Christian kulia kwa mkuu wa Wilaya wakikata utepe kuashilia uzinduzi wa kituo kipya cha mafuta Sokota Temeke jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Total Tanzania, Tarik Moufaddal.
Wakipongezana mara baada ya uzinduzi wa kituo hicho.

0 comments:

Post a Comment